Kimalay cha Kedah

Kimalay ya Kedah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Kedah nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu milioni 2.6. Pia kuna wasemaji wachache nchini Uthai ambapo lugha huitwa Kimalay ya Satun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Kedah iko katika kundi la Kimalayiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search